mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
TUKIWA TUNAENDELEA NA KODI YA MSHIKAMANO KUNA HAYA MALALAMIKO TRA NI YA KWELI HAYA ??
"This is what taasisi zinatakiwa kudhibiti kuhakikisha kodi zinakusanywa sawa sawa, tulikosea njia tukaingia kituo cha mbezi mwisho, kwenye kutoka tukalipishwa buku but wametupa risiti iliyotumika huku wanapiga kelele tutoke baada ya kuhoji kwanin tumepewa used receipt"