Kituo cha mbezi wanagawa used receipt kwa wateja ??

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742

TUKIWA TUNAENDELEA NA KODI YA MSHIKAMANO KUNA HAYA MALALAMIKO TRA NI YA KWELI HAYA ??

"This is what taasisi zinatakiwa kudhibiti kuhakikisha kodi zinakusanywa sawa sawa, tulikosea njia tukaingia kituo cha mbezi mwisho, kwenye kutoka tukalipishwa buku but wametupa risiti iliyotumika huku wanapiga kelele tutoke baada ya kuhoji kwanin tumepewa used receipt"
 
Hii kodi ya uzalendo italeta ujanja ujanja mwingi wa watu kukwepa kulipa kodi....
 
Kwani uchaguzi mkuu ni lini tena?

Maana kwa sasa kodi zimepanda wao wanatembelea magari mazuri sisi ......[emoji2958][emoji2958]
 
Alikuchukulia demu nini?
 
Mama nchi ishakushinda, wapigaji wamekuzidi ujanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…