Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 304
- 545
Kwa nini wewe usiende ku target hizo ofisi za CCM?Ila ujinga na mihemuko 🚮🚮🚮
Badala ya kutarget ofisi za CCM na miundombinu yake, mnaenda kuchoma vituo vya mabasi ambavyo baada ya maandamano nyie wenyewe wananchi mtateseka kukosa usafiri 🤦🏽♀️🤦🏽♀️ na mtatoa pesa zenu za kodi kuvijenga upya.
Sababu sifuati mkumbo na sina mihemuko!Kwa nini wewe usiende ku target hizo ofisi za CCM?
Usinipangie cha kuandika mkuu 😎Bora Ungebaki kuandika nyuzi za pornography tu
Chonde chonde tusiharibu mali ambazo ni zetu sisi wenyewe. Tushughulike na mali za watesi wetu na za chawa wao!Maandamano yanazidi kupamba moto, unaambiwa ile ya asubuhi ilikuwa cha mtoto, watu wananchi wameongezeka maradufu wakati huu wakizidi kusonga mbele.
Kituo cha mwendokasi Magomeni nacho kimeliwa kichwa, kimetiwa kiberiti na raia wanasonga.
Madai ni yale yale, tunataka haki irejee nchini, sio amani wakati wenzetu wanatekwa kila kukicha, sio amani wakati wenzetu wanauliwa kila kukicha sio amani wakati majority tunapulia kwenye mashine.
View attachment 3495888
Unakosoa na huko ndani umelala.Ila ujinga na mihemuko 🚮🚮🚮
Badala ya kutarget ofisi za CCM na miundombinu yake, mnaenda kuchoma vituo vya mabasi ambavyo baada ya maandamano nyie wenyewe wananchi mtateseka kukosa usafiri 🤦🏽♀️🤦🏽♀️ na mtatoa pesa zenu za kodi kuvijenga upya.
😅 Oktoba 29 - tulioshindwa kutoka majumbani kwa sababu mbalimbali tukutane hapa - sijatoka!Unakosoa na huko ndani umelala.
Toka njoo uwaambie huku. 😆😆
Toka angalau upate cha kuwasimulia wajukuu zako jinsi siku moja wanyonge walivyoamua kuuvua unyonge wao!
Hapana sitoki, ila kama kuuvua unyonge ni kuharibu mali za umma, basi nitakuja kuwasimulia wajukuu zangu jinsi wanyonge walivyokua wajinga na ndiyo maana wanatawaliwa na wajinga wenzao na wadhalimu.Toka angalau upate cha kuwasimulia wajukuu zako jinsi siku moja wanyonge walivyoamua kuvua unyonge wao!
Hapana, mwelekeo wa kuharibu mali za umma utasahihishwa. Hizo ni mali zetu wenyewe. Tunalia na mali za watesi wetu na za chawa wao!Hapana sitoki, ila kama kuuvua unyonge ni kuharibu mali za umma, basi nitakuja kuwasimulia wajukuu zangu jinsi wanyonge walivyokua wajinga na ndiyo maana wanatawaliwa na wajinga wenzao na wadhalimu.
Ndio matokeo ya kuteka na kuua watuKuchoma kituo cha mwendokasi ili iweje?
Price ya kupigana na umaskini, kutekwa na kuuliwa ni kubwa kuliko hizo mali, tutarekebisha mbele ya safariHapana sitoki, ila kama kuuvua unyonge ni kuharibu mali za umma, basi nitakuja kuwasimulia wajukuu zangu jinsi wanyonge walivyokua wajinga na ndiyo maana wanatawaliwa na wajinga wenzao na wadhalimu.
Kwahiyo kuchoma kituo cha usafiri cha umma cha wananchi wote (bila kujali itikadi) ambao wala siyo hao watawala wanaoteka watu kunasaidia nini?Ndio matokeo ya kuteka na kuua watu