GE2025 Kituo cha Mwendokasi cha Magomeni chachomwa moto

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hujielewi wewe,acha kutupotezea muda
Nimeshuhudia kuanzia maandamano makubwa zaidi kutokea ya mwaka 2,000 ya CUF, na yale ya CHADEMA 2010 & 2014 na haya. Ni mara ya kwanza naona wananchi wanatarget mali zao wenyewe za umma badala ya mali za mafisadi.

Ujinga ni mzigo sana ๐Ÿšฎ, nina uhakika mtayajutia hayo mnayofanya!
 
Ukiteka na kuua thatโ€™s what you get, ndio mwanzo huo
 
KWani wewe unaingia hasara gani?
 
Ya kulipia tena kukijenga au kukikarabati kwa pesa za umma kupitia kodi ninazokatwa kama mwananchi.
Bora sasa tutakuwa tina uhakika ni za umma kuliko hawa majambazi wanachota pesa za wahisani wana jitajirisha wao kwa kujenga vituo vya 10,000 na kutuambia ni milioni 500.

Pesa yana jenga Mbweni na kujilimbikizia nje ya nchi.
 
huu ulikuwa ni ujinga sana kufanya uharibifu wa vitu mnavyovitumia wenyewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ