kituo cha polisi kimeuzwa

kituo cha polisi kimeuzwa

CalvinPower

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
1,634
Reaction score
1,001
kuna habari kuwa kituo kidogo cha polisi kilichopo katika jengo la stendi kuu ya moshi mjini kimeuzwa na sasa ni duka la kuuzia mikate (grocery) naomba kwa waliopo karibu na huko watupe habari kamili.
 
Back
Top Bottom