C CalvinPower JF-Expert Member Joined Nov 25, 2008 Posts 1,634 Reaction score 1,001 Feb 4, 2009 #1 kuna habari kuwa kituo kidogo cha polisi kilichopo katika jengo la stendi kuu ya moshi mjini kimeuzwa na sasa ni duka la kuuzia mikate (grocery) naomba kwa waliopo karibu na huko watupe habari kamili.
kuna habari kuwa kituo kidogo cha polisi kilichopo katika jengo la stendi kuu ya moshi mjini kimeuzwa na sasa ni duka la kuuzia mikate (grocery) naomba kwa waliopo karibu na huko watupe habari kamili.
Next Level JF-Expert Member Joined Nov 17, 2008 Posts 3,153 Reaction score 180 Feb 4, 2009 #2 Mtauza hata ikulu yenu sasa!