Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko wapi?ni pm no zako,mi nipo arusha
Transmitter 6000$
TCRA registration+Consultant fee 4000$
Studio equipments,including sound proof materials and installation 5000$
Other items 2500$
Ni PM nikutumie forms za TCRA,kama upo tayari.
kumbe ni very cheap sana yani 20m unaanzisha radio?
Transmitter 6000$
TCRA registration+Consultant fee 4000$
Studio equipments,including sound proof materials and installation 5000$
Other items 2500$
Ni PM nikutumie forms za TCRA,kama upo tayari.
Ni vema mkajenga utamaduni wa kueleza mambo hapa jamvini ili na wengine wajifunze. Kuna siri gani basi kwenye taratibu hizo? Radio Producer uko wapi?
Uko wapi?ni pm no zako,mi nipo arusha
anaomba procedures za kufungua kituo cha redio sasa akuPM No. ya nini,kuna siri hapo?
huyu alietoa thread kasema kwa benefits za wote sasa wewe unataka habari za PM..mbona unaakili nyeusi wewe jamaaa..kama unafaham vitu tiririka hapa hapa kila mtu aone..sijui haya mabo yatakwisha lini..yan..khaaa...Uko wapi?ni pm no zako,mi nipo arusha
huyu alietoa thread kasema kwa benefits za wote sasa wewe unataka habari za PM..mbona unaakili nyeusi wewe jamaaa..kama unafaham vitu tiririka hapa hapa kila mtu aone..sijui haya mabo yatakwisha lini..yan..khaaa...
KIONGOZI,nafahamiana na watu wenye kumiliki radio,watu wao waliowasaidia kuanzisha radio vilevile chuo changu kinatoa kozi za utangazaji pia (The Arusha East African Training Institute)
nilitaka nimuunganishe nao
unaweza kuendelea kuthubutu kusema sikuwa sahihi baada ya kukupa maelezo haya???
ok lyamber mimi nina akili nyeusi,its fine!lakini wewe mwenye akili nyeupe unawezaje kukurupuka na kumjibu mtu bila hata ya kupitia michango ya watu wengine au hata kusoma posts kadhaa?kwa sababu kama ungefanya hivyo ungeona ufafanuzi ambao nimetoa,tena upo juu ya post yako hii wala sio mbali!
na kama hautajifunza kitu ktk hiki nilichokuambia basi endelea tu kufikiria nina akili nyeusi!