Kituo cha radio

Wanajamvi naombeni msaada ya procedure za kuanzisha kituo cha radio.Yaani:-
1)jinsi ya kununua frequency tcra
2)vifaa muhimu
N.B-Mtaji ninao pia majengo ninayo pia.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu
Mkuu,
Hapa natumia simu nadhani nashindwa kukupa more details, kuna mdau hapo juu katoa gharama lakini ni chache na mambo mengi hakuyaweka. Nikienda kaa kwenye pc nitakujulisha zaidi ila kwa kifupi angalia haya:_

Unahitaji kuzingatia hatua hizi'
1. Usajiri TCRA mambo muhimu hapa ni kuandika Feasibility Study, na kikubwa ambacho huwa kinawaliza wengi hapa ni financial audited report ya miaka 5 ambayo ndo huonyesha kama mradi wako utadumu hapa jamaa hawana mchezo.
2. Vifaa vinatofautiana kulingana na ubora hapa bongo unaweza kupata vifaa hata kwa milion 3 kasoro transmitter set lakini vyote vya kichina na vitaharibika mapema. Sisi ni wauzaji wa vifaa pia kwa order toka UK, Australia, Na Canada, vinatofautiana bei kulingana na wewe. kuna pwckage nyingi zw ainw mbalimbali mfano kuna kleio pluntinum ya australia vifaa vyooote mpaka transmitter ya watts 300 unanunua kwa dola17000FOB price. viko kamili kwa studio 2 na transmitter inayoweza kucover kilomita 45-60 ikifungwa vizuri eneo zuri. nikikaa kwenye pc nitakupa sample ya hizi package ya vifaa.
3. Studio and transmission site installations, umesema unamajengo ni rahisi hapa, kuna acoustic materials, tower na mengine madogomadogo.
4. Planning and Scheduling hapa unaandaa utaratibu wote wa radio yako mpaka masuala ya menegement structure, vipindi, mafunzo nk.
5. Uendeshaji, hapa ndiyo mziki mnene sasa, nikikaa kwenye computer tuwasiliane zaidi email yetu ni consultancy@radiotz.com
Karibu
 
asante mkuu,nimekutumia mail
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…