Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu

mamseri

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
707
Reaction score
292
Wakuu hawa jamaaa ni noma sana. Leo watu wamepata elimu kubwa sana kuhusu rasimu ya pili ya katiba maeneo ya kata ya Kiranyi Arumeru. Kwa kweli wanajitahidi sana wanatoa vipeperushi na cd zenye elimu kuhusu rasimu hiyo na wanadai ni zoezi la nchi nzima. Nimewapenda sana mungu awabariki hakika tutapata katiba tunayoitaka.
 
mungu awajalie ila wsifanye kwa kuegemea upande wowote wa kisiasa zaid ya kweli na haki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…