Jasusi Mbobezi
Senior Member
- May 17, 2020
- 195
- 851
Haya ndio madhara ya siasa chafu, hivyo yafaa kwa umoja wetu tuyaone madhaifu haya na tuone umuhimu wa kuipata Katiba mpya, tena sii kwa kuchelewa bali sasa.TBC 1 wamefikia hatua ya kuweka matangazo na nyimbo za kuhamasisha chanjo, hawa balance kwa kuweka matangazo na nyimbo za kupinga chanjo, hili ni kosa.
Waziri Gwajima anatuhamasischa tukachanje tena yeye ni kiongozi aliyepewa dhamana ya kuongoza wizara ya Afya.
Askofu Gwajima anatushauri tusichanje yeye ni kiongozi wa kiroho na mwakilishi wa wananchi.
Mh Rais amesema hili jambo ni la hiyari, kila mtu aamue mwenyewe acheni kutushawishi.
Kama mnaruhusu kushawishi basi mkiona mnazidiwa msilielie
NB: Jumapili hii Ufufuo na Uzima (kwa shemeji) hapata tosha.
TBC 1 wamefikia hatua ya kuweka matangazo na nyimbo za kuhamasisha chanjo, hawa balance kwa kuweka matangazo na nyimbo za kupinga chanjo, hili ni kosa.
Waziri Gwajima anatuhamasischa tukachanje tena yeye ni kiongozi aliyepewa dhamana ya kuongoza wizara ya Afya.
Askofu Gwajima anatushauri tusichanje yeye ni kiongozi wa kiroho na mwakilishi wa wananchi.
Mh Rais amesema hili jambo ni la hiyari, kila mtu aamue mwenyewe acheni kutushawishi.
Kama mnaruhusu kushawishi basi mkiona mnazidiwa msilielie
NB: Jumapili hii Ufufuo na Uzima (kwa shemeji) hapata tosha.
Binadamu kazi kweli.
Elimu zote 2 inabidi zitolewe, ile ya chanjo na yakupinga na vyombo vya habari lazima vi balance.Elimu lazima itolewe japo kwa utaratibu