kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Naam wakuu,nimejiuliza hili swali baada kufuatilia mwenendo wa ufanyaji kazi wa kituo Cha televisheni kinachomilikiwa na msanii diamond,hasa nikilinganisha na kiwango Cha usikivu wa kituo hicho kwa miezi iliyopita
Kwa upande wa redio, yaani wasafi FM huko sijafuatilia, kama msanii mkubwa kama diamond pamoja na mihela yake yote anashindwa kuweka usikivu wenye kueleweka kwenye kituo chake cha televisheni,basi niseme tu kwamba kumililiki kituo Cha televisheni si kazi rahis!