kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Ndio mkuu. Ni mtu ambaye ana USD 1 million kuendelea (financial freedom).Hv mnafahamu maana ya mtu tajiri!??
We umbwa acha hizo. Utafanya JF wanione tajiri kumbe kapuku tu.Matajiri ni kina Chaliifrancisco wenye acres na acres za mshamba ya dengu na ngwara ukiondoa maelfu ya mifugo mbusiii. Huyu dogo Eliamini Mollel namkubali sana.
Umbwaaa
Yani mitandao imekuzuzua unaamini hao wote wana hizo pesa!!??Ndio mkuu. Ni mtu ambaye ana USD 1 million kuendelea (financial freedom).
Baadhi ya watanzania wenye 1 million usd kuendelea.
1. Chief godlove 22 m usd
2. Diamond 16 m usd
3. Millard Ayo 11 m usd
4. Hamisa Mobeto 4 m usd
5. Wema Sepetu 4 m usd
6. Haji manara 4 m usd
7. Issa Tambuu 4 m usd
8. Konde boy 3 m usd
Hawa chini wote wana 1 million usd
Zembwela
Doto magari
Mwijaku
Juma Lokole
Baba Levo
zuchu
Harmoropa
M. Kitenge
Feisal
Hahaha sasa mkuu bila kuiamini mitandao info tutapata wapi.Yani mitandao imekuzuzua unaamini hao wote wana hizo pesa!!??
Hakuna mtu mwenye fedha hapo. Ni wabangaizaji waliofanikiwa kutibu njaa tu
Acha wivu wa kishamba weweDomo hajawahi kuwa tajiri, ni maskini aliechangamka anaejitahidi kutengeneza image ya kuonekanwa tajiri.
Hizo info feki..... Machawa wao wenyewe wanakwambia hao jamaa hawana hizo pesa. Tena hapo kuna msanii mmoja mkubwa simtaji jina nilipata kesi yake alikuwa anadaiwa pango la nyumba muda mrefu. Almanusra wamtimueHahaha sasa mkuu bila kuiamini mitandao info tutapata wapi.
🤣🤣🤣🤣🤣Matajiri ni kina Chaliifrancisco wenye acres na acres za mshamba ya dengu na ngwara ukiondoa maelfu ya mifugo mbusiii. Huyu dogo Eliamini Mollel namkubali sana.
Umbwaaa
Umevurugwa kwelNdio mkuu. Ni mtu ambaye ana USD 1 million kuendelea (financial freedom).
Baadhi ya watanzania wenye 1 million usd kuendelea.
1. Chief godlove 22 m usd
2. Diamond 16 m usd
3. Millard Ayo 11 m usd
4. Hamisa Mobeto 4 m usd
5. Wema Sepetu 4 m usd
6. Haji manara 4 m usd
7. Issa Tambuu 4 m usd
8. Konde boy 3 m usd
Hawa chini wote wana 1 million usd
Zembwela
Doto magari
Mwijaku
Juma Lokole
Baba Levo
zuchu
Harmoropa
M. Kitenge
Feisal
Acha wivu wa kishamba wewe
Au sioacha mihemko kijana, unaweza ukaibiwa kilaini kabisa
Au sioacha mihemko kijana, unaweza ukaibiwa kilaini kabisa