Kituo cha usaili jeshini chatiwa kiberiti Urusi

Kituo cha usaili jeshini chatiwa kiberiti Urusi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Camera za CCTV zilimnasa jamaa akiruka ukuta na kwenda kufanya yake....

A military building in Bratsk, Russia, was set on fire overnight. The building was reported to go up in flames at about 2am local time. No injuries were reported but two employees were inside. The fire was reportedly started from the inside of the building. The news was reported first on Twitter by Igor Sushko of the Wind of Change RG think tank in Washington DC.

Firefighters were urgently called to the scene. As a result, the fire managed to spread to less than 40 squares.

Looking at the building's cameras, authorities noticed a suspicious person dressed in all black.

They climbed over a metal fence. The alleged arsonist is being sought.
 
Ukraine hii sasa sifa jamani, mpaka kituo cha usajili jeshini kinatiwa kiberiti.
Uenda hata si Ukraine bali warusi wenyewe.Kuna watu ndani ya Urusi hawakubaliani na upumbavu wa Putin na genge lake. Ile nchi kwasasa inaweza ongoza kwa wajane wengi na wanahasira sema wamenyamazishwa na mkono wa chuma.
 
Sio hapo ata France poa kuna maandamano kweli watu hawakubaliani na gharama za maisha kuwa juu ila askari wanawagonga kweli kuwa waendelee kukomaa huku wakifanya kila namna vyombo vya hanar visiwe vinareport
 
Ndio kiliwatokea Warusi kwenye vita vya pili vya dunia, wanaume waliisha sana na kuacha wajane wengi, ilichukua muda mrefu kurejesha idadi ya wanaume, historia inajirudia.
 
Sio hapo ata France poa kuna maandamano kweli watu hawakubaliani na gharama za maisha kuwa juu ila askari wanawagonga kweli kuwa waendelee kukomaa huku wakifanya kila namna vyombo vya hanar visiwe vinareport

Ufaransa wana uhuru wa kuandamana kwa jambo lolote. Kuna kipindi wanavyuo waliwai andamana kuelekea kwenye mikahawa ya Mc Donald na Nandos kupinga uchinjwa wa kuku ili hali wao pia ni walaji.

Mfumko wa gharama za maisha Hupo duniani kote ila mfumoko wa family za wajane na wagane hupo Urusi tu.
hata Tanzania ingelikuwa inakaliwa na watu wenye akili na uhuru wa kuandamana wangeliandamana ila sasa hawana akili na uhuru ndiyo maana uoni kile unakiita maandamano.
 
Sio hapo ata France poa kuna maandamano kweli watu hawakubaliani na gharama za maisha kuwa juu ila askari wanawagonga kweli kuwa waendelee kukomaa huku wakifanya kila namna vyombo vya hanar visiwe vinareport

ulaya maandamano ata yasikuumize kichwa wale wanaweza kuandamana wakidai kuku na bata wajengewe matuta barabarani na serikali ili magar yakipita yasiwagonge.
these peoples are free.

utaskia mji huu wanaandamana gharama za maisha mji mwingine wanaandamana msaada kwa ukraine hautoshi.

ni sehem ya wao kupata furaha na kukutana na marafiki na ku have fun
nchi nyingine maandamano ni kama suicide mission
 
Back
Top Bottom