Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimesikia kuanzia saa 8 mchana....Saa ngapi?
Online je?We we km uko hme fungulia
Wadau aliye na Ratiba sahihi ya Bunge la Katiba linaloanza leo tafadhali anipe,vile vile ni Channel zipi zimeidhinishwa kurusha?au ni ileile ambayo wajumbe wakizinguana wanakata umeme?Tafadhali nipeni uhalisia wakuu maana nimeomba ruhusa ya bila malipo ili nishuhudie Katiba yangu itakavyopitishwa.
mkuu ungeendelea tu na kazi.
Niliposikia 75% ya wajumbe ni makada wa ccm,kwa kweli sina hata hamu ya kuangalia maana kila kitu kitakuwa ni ndiooo.......