Kituo kinachofundisha Spanish kwa Dar

Kituo kinachofundisha Spanish kwa Dar

ngebo

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017
Posts
1,684
Reaction score
2,126
Salaam!

Naombeni kujuzwa ni sehemu gani kwa hapa Dar es Salaam wanatoa huduma ya kufundisha kispanyola. Naombeni mchanganuo wao mfano Ada zake, contacts zao nk..

Asanteni
 
Wanakuja mkuu
 
Sijui Kwa dsm ila kuna mshkaji yupo Zenji anazo YouTube.... Labda uwasiliane nae muyapange...

Anaitwa Burhani 0777 478 311
 
Najifunza Duo Lingo na so far nipo na moto balaa
 
Back
Top Bottom