Wanakuja mkuuSalaam!
Naombeni kujuzwa ni sehemu gani kwa hapa Dar es Salaam wanatoa huduma ya kufundisha kispanyola. Naombeni mchanganuo wao mfano Ada zake, contacts zao nk..
Asanteni
estoy biencómo estás
Sijui Kwa dsm ila kuna mshkaji yupo Zenji anazo YouTube.... Labda uwasiliane nae muyapange...Salaam!