kituo kizuri kwa kufanyia paper za PSPTB

carter

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2009
Posts
3,664
Reaction score
4,259
heshima kwenu wanajamvi, ningependa mwenye kujua kituo kizuri chenye walimu wazur kwenye review classes za mitihan ya bodi ya wagavi. Pia kiwango cha ufaul kwenye hvyo vituo..natarajia kuja huko dar for review classes from march so please anyone with the info anijuze na mie.
 
nenda Kass Informatics au Zoom Karibu na magomen. nimepigia shule vituo hivyo nimefaulu.
 
Hamna kituo kwa City Centre huku nataka kupiga P1 this November.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…