Mkubwa ni Kitwana Manara. Pia alikuwepo mdogo wao anaitwa Kassimu ManaraKitwana Manara na Sunday manara nani mkubwa?
Okay Haji Manara kashindwa kufata fani za Baba zake!! Kaishia kuwa MZee wa TANTALILA.Mkubwa ni Kitwana Manara. Pia alikuwepo mdogo wao anaitwa Kassimu Manara
nadhan asingekua albino tungeona mbwe mbwe zakeOkay Haji Manara kashindwa kufata fani za Baba zake!! Kaishia kuwa MZee wa TANTALILA.
nadhan asingekua albino tungeona mbwe mbwe zake
Okay Haji Manara kashindwa kufata fani za Baba zake!! Kaishia kuwa MZee wa TANTALILA.
Kassim manara alicheza soka ya Kulipwa Austria . Nakumbuka 1990/1991 Taifa Stars ilicheza na Sudan Daresalaam matokeo yakawa 1-1 goli la stars alifunga Kassim manara kwa tiktak nilikuwepo uwanjani . Golikipa wa Sudan alikuwa mrefu sana halafu Mweusi sana . Huu ukoo wa manara walikuwa Yanga wote, kizazi kipya Haji manara ndiyo simbaMkubwa ni Kitwana Manara. Pia alikuwepo mdogo wao anaitwa Kassimu Manara
Kumbe tatizo ualbino.
Ukumbuke baba yao kina Sunday na Kitwana alikuwa Simba, ila watoto ni Yanga. Usimlaumu Haji ni mahaba ndio yanayomfanya awe vile.Kassim manara alicheza soka ya Kulipwa Austria . Nakumbuka 1990/1991 Taifa Stars ilicheza na Sudan Daresalaam matokeo yakawa 1-1 goli la stars alifunga Kassim manara kwa tiktak nilikuwepo uwanjani . Golikipa wa Sudan alikuwa mrefu sana halafu Mweusi sana . Huu ukoo wa manara walikuwa Yanga wote, kizazi kipya Haji manara ndiyo simba
HahahahahaaaaaaUmesahau wizi wa magari. Nayo ni fani yake.
KIONGOZI UNAWEZA KUDADAVUA HUU UBUYU!?Umesahau wizi wa magari. Nayo ni fani yake.
KIONGOZI UNAWEZA KUDADAVUA HUU UBUYU!?