Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #41
U won't know unless u do the analytical part of it! Come onn Ruta!
There is no a better answer than this, good and right thinking.
sijasema lazima yawe hayo yote au hata baadhi lakini ninaamini nimeyagusia yale ambayo huwazuzua wengi wao..............
U won't know unless u do the analytical part of it! Come onn Ruta!
BIG POINT, Mugglin.....................tatizo ni kuwa unachukulia kuwa ninazo hizo RISK ANALYTICAL skills...................kama sina wewe ambaye ni mwalimu itabidi unielemishe ili nipate ujuzi wa kuzitumia.......
Asante Uttoh! Rudi unisaidie basi manake Ruta haelewi kabisa!
There is no spoon feeding sasa. Google. Further more, unatakiwa ujifunze kufanya quick risk analysis kwa kila situation. Its like crossing the road, u can't walk around with the manual! U need to know the left-right-left-cross rule, yeah?
yawezekana ikawa japo pia inawezekana isiwe kwani katika hayo baadhi yanapishana kwa kila mtu
Kiu yangu ni kupendwa, pesa na mali +kujamiiana.
Hivi unaweza ukapendwa halafu usiheshimiwe?
There is no spoon feeding sasa. Google. Further more, unatakiwa ujifunze kufanya quick risk analysis kwa kila situation. Its like crossing the road, u can't walk around with the manual! U need to know the left-right-left-cross rule, yeah?
...bado sikuelewi... "RISK ANALYSIS".... is simply a phrase... What should I google for..? at what field..?
una wanandoa huwa wanakaa miezi sita bila ya hii kitu, hapo sijui huwa inakuwaje, or probably priorities zinabadilika over time...
...bado sikuelewi... "RISK ANALYSIS".... is simply a phrase... What should I google for..? at what field..?
kuna wanandoa huwa wanakaa miezi sita bila ya hii kitu, hapo sijui huwa inakuwaje, or probably priorities zinabadilika over time...
[h=2][/h] Google exactly that, see options u get na uamue unaelekea wapi!
Guys, saumu ya kwaresma imenishika vibaya, staki kufunguka if u don't mind. Niwatakie wakati murua... I'm outta here.
miezi sita bila mti? Hii sio ndoa..itawezekana kama mmoja ni mgonjwa au yuko nje nchi.. Ila kama wote wazima basi kila mmoja atakuwa anatimiza haja zake kando..
Google exactly that, see options u get na uamue unaelekea wapi!
Guys, saumu ya kwaresma imenishika vibaya, staki kufunguka if u don't mind. Niwatakie wakati murua... I'm outta here.