Kiu ya mwanamke ni nini?


Mwanamke anapenda mengi sana, na unapaswa kutambua kuwa swala la kupenda ni mchakato. Binafsi nadhani KUTHAMINIWA ni jambo kubwa kwa mwanamke.
 

namba tano ndio kila kitu,kama haipo sioni vingine vikienda smooth.....lol
 

Kufanywa tu ndiyo kiu kali sana inayowasumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…