Kiu ya Vijana wa Tanzania kumuona Rais Ibrahim Traore inaonyesha kwanini BAVICHA wamemchagua Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

Kiu ya Vijana wa Tanzania kumuona Rais Ibrahim Traore inaonyesha kwanini BAVICHA wamemchagua Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni kama vile hizi zama Viongozi wenye Fikra za akina Thomas Sankara na Ibrahm Babangida wa enzi zetu ndio furaha ya vijana

Ninaiangalia hapa Picha ya Tundu Lisu akiwa JKT
Duh ni afadhali aliendelea Chuo kikuu 😂😂
 
Kwenye mkutano jamaa hajaja? huyo traore nikapge nae hata ka photo tu?
 
Back
Top Bottom