Kiuchumi lipi wazo la busara wazo la busara kati ya haya?

amshapopo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
1,834
Reaction score
4,161
Habari wanajamii wenzangu.

Je, ukipata hela ni wazo lipi bora kulifanya kati ya mawazo yafuatayo?

1. Kununua kiwanja au viwanja kwaajili ya uwekezaji wa baadaye.

2. Kufanya biashara ya mazao.

3. Kuhifadhi pesa fixed account au tresuary bond na bills.

4. Kununua vyombo vya usafirishaji Kama Bajaji na Pikipiki.

Kwa maoni yako wazo lipi ni bora na kwanini?

Shukrani.
 
Unazungumzia kiasi gani cha hela? Maana hata mia, mia mbili, tano ni hela pia. Sasa weka kiasi unazungumzia ndo tujue ukipata uwekeze vip na kwanini uwekeze huko.
 
Mkuu sasa Mia mbili utanunua Bajaj gani?
 
Zote ni idea nzuri sana.

Kama hela ipo, wekeza kwenye vyote.
Ukitaka kuwa tajiri unatakiwa uwe na vyanzo vingi vya mapato.

Na kama hela haitoshi,
Fanya mawili kati ya hayo.
 
Shukrani mkuu
 
Habari wanajamii wenzangu.

Je, ukipata hela ni wazo lipi bora kulifanya kati ya mawazo yafuatayo?

1. Kununua kiwanja au viwanja kwaajili ya uwekezaji wa baadaye.

2. Kufanya biashara ya mazao.

3. Kuhifadhi pesa fixed account au tresuary bond na bills.

4. Kununua vyombo vya usafirishaji Kama Bajaji na Pikipiki.

Kwa maoni yako wazo lipi ni bora na kwanini?

Shukrani.
Mimi nimeweka UTT
 
Hapo ndo shida inapoanzia, yaan unasubiri upata hela ndo wazo la biashara lianza. kwa % nyingi tu hiyo biashara huwa inaendakufa.

Wekeza pesa kwa kitu unachokifanya au una experience nacho na si kwamba ukipata hela ndo uanze kuwanza biashara. ndugu yangu utakuja ulie.

labda ukutane na wazoefu wakushike mkono, alafu maoo na mfumo wa uendeshaji biashara unapaswa uwe navyo wewe, sasa kama uwe huna idea yeyote itakuwaje hapo?.

Biashara ya aina hiyo ni kwa wale ambao tayari wako vizuri kichumi wanamiliki biashara zao za huakika ndo anaamua kufanya vitu vya ziada au kujaribu mambo mengine ila si kwa wewe unaenza hujuwi chochote utakuka ulie hapa.
 
zingatia hili kijana
 
Back
Top Bottom