Hapo ndo shida inapoanzia, yaan unasubiri upata hela ndo wazo la biashara lianza. kwa % nyingi tu hiyo biashara huwa inaendakufa.
Wekeza pesa kwa kitu unachokifanya au una experience nacho na si kwamba ukipata hela ndo uanze kuwanza biashara. ndugu yangu utakuja ulie.
labda ukutane na wazoefu wakushike mkono, alafu maoo na mfumo wa uendeshaji biashara unapaswa uwe navyo wewe, sasa kama uwe huna idea yeyote itakuwaje hapo?.
Biashara ya aina hiyo ni kwa wale ambao tayari wako vizuri kichumi wanamiliki biashara zao za huakika ndo anaamua kufanya vitu vya ziada au kujaribu mambo mengine ila si kwa wewe unaenza hujuwi chochote utakuka ulie hapa.