GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sio Tano Tano anakupiga mkubwa wako SimbaNimeota Simba amefungwa 0-7 huku upande wa Yanga wakiwa na hart trick mbili
Utopolo ni kibonde wa SimbaSimba hawawezi kushinda leo, unapoteza muda wako, Yanga anashinda, au sare
Hamchezi na Toto Afrika mpaka useme uto haiwezi kufungwa. Hiyo ni Simba uto jiandae kivyovyote huku ukikumbuka kipigo cha 2-0Simba hawawezi kushinda leo, unapoteza muda wako, Yanga anashinda, au sare
O-7 hii itatokana na kipa wa Simba kufanya makosa mengi ya kiufundi na kwa mara ya kwanza Leo Simba itafanya sub ya kipaSio Tano Tano anakupiga mkubwa wako Simba
Ile kazi ya kubadilisha matokeo Kwa Kalumanzila imekwendaje Mkuu, au jini kakata kamba?1. Ally Salim
2. Israel Mwenda
3. Mohammed Hussein
4. Chemalone Fondo
5. Henock Inonga
6. Fabrice GENTAMYCINE Ngoma
7. Kibu Denis
8. Sadio Kanoute
9. Jean Baleke
10. Clatous Chama
11. Jose Louis Miquisonne
au
1. Ally Salim
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Henock Inonga
5. Chemalone Fondo
6. Fabrice GENTAMYCINE Ngoma
7. Saido Ntibanzokinza
8. Clatous Chama
9. Moses Phiri
10. Sadio Kanoute
11. Kibu Denis
Nawe pia kuwa Huru Kupendekeza chako ila kiwe ni cha Kiufundi zaidi kwani Mechi ya Leo ni Ngumu mno.
Hapo kwenye kipa sina imani na huyo dogo mkuu. Kama mwarabu haaminikii ni afadhali hata tumchukue mchezaji wa ndani kama Inonga au Kapombe tuwaweke golini kuliko huyu Ally Salim.1. Ally Salim
2. Israel Mwenda
3. Mohammed Hussein
4. Chemalone Fondo
5. Henock Inonga
6. Fabrice GENTAMYCINE Ngoma
7. Kibu Denis
8. Sadio Kanoute
9. Jean Baleke
10. Clatous Chama
11. Jose Louis Miquisonne
au
1. Ally Salim
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Henock Inonga
5. Chemalone Fondo
6. Fabrice GENTAMYCINE Ngoma
7. Saido Ntibanzokinza
8. Clatous Chama
9. Moses Phiri
10. Sadio Kanoute
11. Kibu Denis
Nawe pia kuwa Huru Kupendekeza chako ila kiwe ni cha Kiufundi zaidi kwani Mechi ya Leo ni Ngumu mno.
Ha ha haHapo kwenye kipa sina imani na huyo dogo mkuu. Kama mwarabu haaminikii ni afadhali hata tumchukue mchezaji wa ndani kama Inonga au Kapombe tuwaweke golini kuliko huyu Ally Salim.
aise hizi vikosi vya nyuma ya keyboard ni motroo 🔥 sana aise, Lakini hata na hivo mnyama nanakufa goli 3-1, bila wasi wala tashwishwi yeyote mbele ya kikosi kipana, imara, tulivu na kisicho na papara wala mdomo....1. Ally Salim
2. Israel Mwenda
3. Mohammed Hussein
4. Chemalone Fondo
5. Henock Inonga
6. Fabrice GENTAMYCINE Ngoma
7. Kibu Denis
8. Sadio Kanoute
9. Jean Baleke
10. Clatous Chama
11. Jose Louis Miquisonne
au
1. Ally Salim
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Henock Inonga
5. Chemalone Fondo
6. Fabrice GENTAMYCINE Ngoma
7. Saido Ntibanzokinza
8. Clatous Chama
9. Moses Phiri
10. Sadio Kanoute
11. Kibu Denis
Nawe pia kuwa Huru Kupendekeza chako ila kiwe ni cha Kiufundi zaidi kwani Mechi ya Leo ni Ngumu mno.
Bangi uliyoivuta leo uliihakiki kama haikuchanganywa na Kinyesi cha / Mavi ya Binadamu / Mwanadamu?Nimeota Simba amefungwa 0-7 huku upande wa Yanga wakiwa na hart trick mbili
Punguza Unafiki.Ile kazi ya kubadilisha matokeo Kwa Kalumanzila imekwendaje Mkuu, au jini kakata kamba?