GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
The King and JamiiForums Captain GENTAMYCINE.Free from jail
Hawazijui hizi timu za kariakoo. Yani leo yanga anashinda simba watapambana kupata sare. Japo wazee wa kuchungulia walisema kua simba alikua anaongoza jana ila yanga ni wazee wa kupindua siku hio hio na hii mechi wanaitaka haswa. Mind you kitu kingine ambacho nadhani wengi hawajakijua. Ihefu kama alikua anatumwa kupunguza point za yanga msimu huu anashuka daraja. Hii post jaribuni kuisaveSimba hawawezi kushinda leo, unapoteza muda wako, Yanga anashinda, au sare
Popoma hata upange kikosi vipi leo ili mradi golini yuko Aly Salim basi chuma 4 zitapita hapohap
1. Ally Salim
2. Israel Mwenda
3. Mohammed Hussein
4. Chemalone Fondo
5. Henock Inonga
6. Fabrice GENTAMYCINE Ngoma
7. Kibu Denis
8. Sadio Kanoute
9. Jean Baleke
10. Clatous Chama
11. Jose Louis Miquisonne
au
1. Ally Salim
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Henock Inonga
5. Chemalone Fondo
6. Fabrice GENTAMYCINE Ngoma
7. Saido Ntibanzokinza
8. Clatous Chama
9. Moses Phiri
10. Sadio Kanoute
11. Kibu Denis
Nawe pia kuwa Huru Kupendekeza chako ila kiwe ni cha Kiufundi zaidi kwani Mechi ya Leo ni Ngumu mno.
Amka kumekuchaNimeota Simba amefungwa 0-7 huku upande wa Yanga wakiwa na hart trick mbili
Mara mbili mumeshindwa kumfunga na Simba ikawakandaPopoma hata upange kikosi vipi leo ili mradi golini yuko Aly Salim basi chuma 4 zitapita hapohapo
Angalia chupi imejaa kinyesi hiyo,kila ulivyokuwa unashangilia goli na kipande cha gogo kinatoka,una vikimba saba kwenye chupi hapoNimeota Simba amefungwa 0-7 huku upande wa Yanga wakiwa na hart trick mbili
Aziz Key ataondoka na mpira kwa AyubuTia double strikers phiri na baleke, winga kibu, winga chama.
6. Ngoma, 8.kanoute.
Weka lakreb golini, wengine wanajulikana.
Ayubu mnamchukulia poa poa.
Midomo haichezi mpira.aise hizi vikosi vya nyuma ya keyboard ni motroo [emoji91] sana aise, Lakini hata na hivo mnyama nanakufa goli 3-1, bila wasi wala tashwishwi yeyote mbele ya kikosi kipana, imara, tulivu na kisicho na papara wala mdomo....
nipo VIP A, ndio wew apo chini umeloa ivo dah, pole sana.....Midomo haichezi mpira.
Kujiamini kwenu ndiyo maumivu yenu.
naniliu vip matokeo huko? huku network inasumbua kidogo? na vip mdomo na kujiamini lakinMidomo haichezi mpira.
Kujiamini kwenu ndiyo maumivu yenu.
namefurahishwa na hili kosi kwakweli1. Ally Salim
2. Israel Mwenda
3. Mohammed Hussein
4. Chemalone Fondo
5. Henock Inonga
6. Fabrice GENTAMYCINE Ngoma
7. Kibu Denis
8. Sadio Kanoute
9. Jean Baleke
10. Clatous Chama
11. Jose Louis Miquisonne
au
1. Ally Salim
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Henock Inonga
5. Chemalone Fondo
6. Fabrice GENTAMYCINE Ngoma
7. Saido Ntibanzokinza
8. Clatous Chama
9. Moses Phiri
10. Sadio Kanoute
11. Kibu Denis
Nawe pia kuwa Huru Kupendekeza chako ila kiwe ni cha Kiufundi zaidi kwani Mechi ya Leo ni Ngumu mno.
Haya njoo tuuguze maumivu ya 5GMidomo haichezi mpira.
Kujiamini kwenu ndiyo maumivu yenu.
Haikuchanganywa ilikuwa pure sana mkuu sema pacome ndio alizingua angepiga v pass na manula asingefanya double save tungefikia lengo la 7Bangi uliyoivuta leo uliihakiki kama haikuchanganywa na Kinyesi cha / Mavi ya Binadamu / Mwanadamu?