GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nasikitika tu kuwa nitapokea Kipigo Kitakatifu kutoka hapa Jijin Kampala nchini Uganda niliko sasa na tayari niko katika Mchakato wa Kumtafuta Mrembo Mmoja wa Kiganda au Kinyankole au Mhima ili Siku hiyo anipunguzie Machungu ya Kipigo Kitakaifu na cha Kishalubela ambacho nina uhakika Simba SC yangu inaenda Kukipokea kutoka kwa Yanga SC.