juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Nilikuwa namsikiliza sana hapa kaurudia mara mbili hapo ni radio yao inambeba...nikawa nacheka kimoyomoyo...mimi ningeacha kuimba aende bongo movie asilazimishe fun.Jamaa kutangaza serious hawezi,anytime yeye ni comedy tu.ila ananogesha vipindi.ila huyu jamaa analazimisha sana kuwa msanii wa hiphop,kurap hawezi kabisa yaani sijui kwa nini analazimisha
Haya ni maoni yako,na huko huru kusema haya. Ni kama zile timu za humu zinazosema msanii wa upande wa 2 hajui kuimba ila wa timu yao ndio anajua.Jamaa kutangaza serious hawezi,anytime yeye ni comedy tu.ila ananogesha vipindi.ila huyu jamaa analazimisha sana kuwa msanii wa hiphop,kurap hawezi kabisa yaani sijui kwa nini analazimisha
Tarrent=talent.adam sio muimbaji ni rapper anaefanya rap katuni anauwezo sana mbona we skiliza line zake huyu jamaa ana tarrent anaonesha utofauti wake sana yupo gud mbona mkuu
Hana kipaji ila anatumia fursa kuteleza kwenye ganda la ndizi.
adam sio muimbaji ni rapper anaefanya rap katuni anauwezo sana mbona we skiliza line zake huyu jamaa ana tarrent anaonesha utofauti wake sana yupo gud mbona mkuu
sasa mkuu tutakuonaje kuwa umekula au haujala maana hapa ni nyuma ya paziahahaha. ....jamani wakati mwingine muwe mnasubiri tushibe.
Mambo ya kuchekeshana na njaa mtatusababishia vidonda vya tumbo.
kujua anajua isipokuwa kama radio moja tz nzima ndo inayokupa sapot ndo mana anafanya mziki anavyojua yeye kuna nyimbo kama bwana shamba na aisha zilikuw nzuriJamaa kutangaza serious hawezi,anytime yeye ni comedy tu.ila ananogesha vipindi.ila huyu jamaa analazimisha sana kuwa msanii wa hiphop,kurap hawezi kabisa yaani sijui kwa nini analazimisha
Duh[emoji15] kweli kipenda roho....mmekalilishwa kwamba nyimbo hizo ni nzuri,yaani akisema b12 kitu basi na nyie mnakalili kweliJamaa mbona yupo vizuri hana tatizo bhana!
Hata mnazi ulianza kama mbuyu
kujua anajua isipokuwa kama radio moja tz nzima ndo inayokupa sapot ndo mana anafanya mziki anavyojua yeye kuna nyimbo kama bwana shamba na aisha zilikuw nzuri
Ajui chochote bana tuwe wakweliadam sio muimbaji ni rapper anaefanya rap katuni anauwezo sana mbona we skiliza line zake huyu jamaa ana tarrent anaonesha utofauti wake sana yupo gud mbona mkuu
Ni kweli ana tarrent.adam sio muimbaji ni rapper anaefanya rap katuni anauwezo sana mbona we skiliza line zake huyu jamaa ana tarrent anaonesha utofauti wake sana yupo gud mbona mkuu