Kiukweli bado tuko kwenye enzi za Zidumu Fikra za Mwenyekiti. Hii ni kwa vyama vyote

Kiukweli bado tuko kwenye enzi za Zidumu Fikra za Mwenyekiti. Hii ni kwa vyama vyote

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hakuna chama chochote cha siasa hapa nchini ambacho Fikra za mwenyekiti wake zinaweza kupingwa ama kupuuzwa.

Walau kwa mbali CCM wanaweza kum-challenge mwenyekiti wao kwenye vikao, tuliona kijana mmoja wa UVCCM akimpinga Hayati Magufuli kwenye mkutano namna David Silinde anavyopendelewa kwenye kura za maoni.

Lakini vyama vya upinzani mwenyekiti ni Mungu mtu kwa mfano Chadema au NCCR, CUF nk

Miaka 60 ya Uhuru.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom