Kiukweli bado tuko kwenye enzi za Zidumu Fikra za Mwenyekiti. Hii ni kwa vyama vyote

Hapa Ufipa shughuli zimesimama mwenyekiti ana kesi binafsi mahakamani!
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Wale wanaodijitalize wanachama huko katani wanafanya nini?
Binafsi napenda sana harakati na mipango ya chama hiki japo si mwanachama wao, ima nawaelewa sana hadi kwenye mavazi yao. Naamini viongozi walio nao ni viongozi kwelikweli.
 
Ofisi za HQ Ufipa zinafunguliwa jioni wakitoka Simu 2000!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…