johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kariakoo ni Mji mkongwe na ukitaka kujenga ghorofa Basi ujue itapita miaka 100 bila kurudisha gharama ya uwekezaji, Wataalam wa RoI mnaelewa Vizuri
Hii ndio sababu maghorofa yote ya kariakoo Yako chini ya Viwango
Unadhani kwanini NHC hawabomoi Nyumba zao za Kariakoo na kujenga ghorofa na badala yake wamekimbilia Morocco na Kawe?
Kariakoo ni Mji mkongwe kama Mburahati na miundombinu yake yote ni chakavu.
Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Mji wa Biashara utafutiwe eneo Jipya na wenye mitaji mikubwa ya kitaasisi ndio wasimamiwe Kitaaluma kujenga Majengo yenye Viwango
Ahsanteni sana
Mlale unono 😄