johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ule mradi wa bonde la msimbazi kimsingi ulipaswa kuimeza Kariakoo yote.Kariakoo ni Mji mkongwe na ukitaka kujenga ghorofa Basi ujue itapita miaka 100 bila kurudisha gharama ya uwekezaji, Wataalam wa RoI mnaelewa Vizuri
Hii ndio sababu maghorofa yote ya kariakoo Yako chini ya Viwango
Unadhani kwanini NHC hawabomoi Nyumba zao za Kariakoo na kujenga ghorofa na badala yake wamekimbilia Morocco na Kawe?
Kariakoo ni Mji mkongwe kama Mburahati na miundombinu yake yote ni chakavu
Mji wa Biashara utafutiwe eneo Jipya na wenye mitaji mikubwa ya kitaasisi ndio wasimamiwe Kitaaluma kujenga Majengo yenye Viwango
Ahsanteni sana
Mlale unono 😄
Kariakoo wanalazimisha tuBaaaaasi dawa tayari wachina tayari ubungo kkoo itajizika yenyewe
Huwezi kulinganisha gharama za majengo binafsi na miredi ya serikali. Nadhani umeona humu JF madaraja yanayojengwa na serikali, daraja ambalo thamani yake ni milioni 150 unaambiwa limegharimu milioni 700. Ndio maana Tanzania watu walio matajiri ni wanasiasa na viongozi wa taasisi za serikali, sio wafanya biashara.Kariakoo ni Mji mkongwe na ukitaka kujenga ghorofa Basi ujue itapita miaka 100 bila kurudisha gharama ya uwekezaji, Wataalam wa RoI mnaelewa Vizuri
Hii ndio sababu maghorofa yote ya kariakoo Yako chini ya Viwango
Wakinga walivyokuwa bahiriWewe unazungumzia Rushwa bali Mimi nazungumzia Viwango
Niko hapa jirani na Soko Dogo la Kariakoo lililobomolewa na kujengwa upya likiwa na ghorofa
Nondo zilizoingia pale chini unaweza kujenga maghorofa haya ya Wakinga 100
Labda NSSF pale Morogoro na Bibi Titi ndio yaliwahi Kujaza wapangaji na huenda payback period yake walishaifikiaHivi Kariakoo wanaolenga wafanyabiashara na sehemu kama Morocco wanakolenga wapangaji makampuni wapi kuna rudisha pesa kwa pango? Ukiangalia na uwezekano wa kujaza jengo.