Kiukweli mabinti wa Arusha wako straight

Shida ni wale wavuta ngada wabapachafua kwa kuibia watu ovyo
 
Nimesoma chuo miaka mitatu Arusha. Ukiweza kuji-adjust na tabia yao ya u-tomboy mademu wa chuga wapo real na wana mapenzi ya kweli. Kama hakupendi basi hakupendi na kama anakupenda basi anakupenda tofauti na hawa wa dar kama hakupendi hakukubalii wala hakukatalii ila anakuweka pending awe anakutumia pale anapokua na shida ya hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…