Kiukweli man u leo tumebebwa

MATESLAA

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,246
Reaction score
75
mimi ni moja wa washabiki wa man u,
leo nimeangalia mpira kwanzia dakika ya kwanza mpaka ya mwisho
kiukeli kutoka moyoni kwangu leo tumebebwa
mchezaji wa city hakustahili kupewa kadi njekundu,
japokuwa walikuwa pungufu walituzidi kimpira leo ,halina ubishi hilo
 
Ni vizuri kuwa mkweli na nafsi yako na pia kukiri kwa wengine...

kwani kuna wengine ni wabishi tuu, hata pale ambapo ni dhahiri kuwa Man U wamebebwa!
 
2mebebwa na nini?ile ni kadi maan jamaa ametacle kwa miguu yote tena vikanyagio vikiwa juu,inatosha kabisa kumshawishi refa kutoa kadi,ila kiutendaj hatupo sawa nakubal,na kikosi chetu ni dhaifu sn,tena sn,n tukishangaa kidogo 2 top4 2taisikia redioni.
 


Bila shaka we ni Man Utd mfu
 
Umemuona eeeeeh????????..............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…