johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani kenya na tz wapi kuna masikin wengi we mnyampala?..sasa hiyo inapunguza vipi umasikini wa waTz walio wengi?
Nafuatilia shughuli ya mazishi ya mwenda zake Rais mstaafu Moi wa Kenya mubashara kupitia Citizen Tv.
Kiukweli mwendazake Moi alikuwa ni tajiri wa kutosha, sasa nimewaelewa mabepari wa Tanzania Chadema wanaoamini kuwa Umaskini ni laana.
Ila CCM ni Chama cha kistaarabu sana marais na mawaziri wakuu wastaafu wanaishi maisha ya kijamaa kabisa.
Maendeleo hayana vyama!
Achana na Moi Uhuru family wanamiliki alomost 8% ya aridhi yote Kenya.
Na huyo ni rais bora kabisa afika kwa mujibu wa chademaAchana na Moi Uhuru family wanamiliki alomost 8% ya aridhi yote Kenya.
Hujui lolote kuhusu ukwasi walionao hao wastaafu wako! Laiti ingekuwa accounts zao huko uswiss, America na ulaya Zina salio la kiasi gani usingeandika mashudu yako hayo!Nafuatilia shughuli ya mazishi ya mwenda zake Rais mstaafu Moi wa Kenya mubashara kupitia Citizen Tv.
Kiukweli mwendazake Moi alikuwa ni tajiri wa kutosha, sasa nimewaelewa mabepari wa Tanzania Chadema wanaoamini kuwa Umaskini ni laana.
Ila CCM ni Chama cha kistaarabu sana marais na mawaziri wakuu wastaafu wanaishi maisha ya kijamaa kabisa.
Maendeleo hayana vyama!
Nafuatilia shughuli ya mazishi ya mwenda zake Rais mstaafu Moi wa Kenya mubashara kupitia Citizen Tv.
Kiukweli mwendazake Moi alikuwa ni tajiri wa kutosha, sasa nimewaelewa mabepari wa Tanzania Chadema wanaoamini kuwa Umaskini ni laana.
Ila CCM ni Chama cha kistaarabu sana marais na mawaziri wakuu wastaafu wanaishi maisha ya kijamaa kabisa.
Maendeleo hayana vyama!
..sasa hiyo inapunguza vipi umasikini wa waTz walio wengi?