MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wabunge kwakuwa wanategemea madaraka ya rais kurudi bungeni, wanaweza kubadili awe hata rais wa maisha. Lakini kwa wananchi hakuna upuuzi huo. Ila machafuko tu ndio yatarejesha utawala wa wananchi.Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaruhusu rais kuongoza mihula miwili (2) mfululizo kwa maana ya miaka 10.. ila ikiwapendeza wabunge wetu wanaweza wakafanya namna kurekebisha hicho kifungu ili kukidhi mahitaji yetu kwa sasa.. Mama Samia aongoze hadi 2040.
Halafu baada ya hiyo 2040, anahamia zake Dubai au Oman! Maana malengo nayo yatakuwa yameshatimia.Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaruhusu rais kuongoza mihula miwili (2) mfululizo kwa maana ya miaka 10.. ila ikiwapendeza wabunge wetu wanaweza wakafanya namna kurekebisha hicho kifungu ili kukidhi mahitaji yetu kwa sasa.. Mama Samia aongoze hadi 2040.
Kwamba yeye ni nani hasa hadi aongezewe muda huo?Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaruhusu rais kuongoza mihula miwili (2) mfululizo kwa maana ya miaka 10.. ila ikiwapendeza wabunge wetu wanaweza wakafanya namna kurekebisha hicho kifungu ili kukidhi mahitaji yetu kwa sasa.. Mama Samia aongoze hadi 2040.
Ni Rais bora kuwahi kutokea. Wananchi wengi tunataka aendelee kuongoza kwa miaka mingiKwamba yeye ni nani hasa hadi aongezewe muda huo?