Kiukweli Uchaguzi Mkuu unasimamiwa na Wakurugenzi wa Halmashauri, sijui kwanini CHADEMA hawalioni hili

Kiukweli Uchaguzi Mkuu unasimamiwa na Wakurugenzi wa Halmashauri, sijui kwanini CHADEMA hawalioni hili

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wakurugenzi wa Halmashauri ndio mikono ya Tume ya Uchaguzi hapa nchini, yaani NEC analishwa na DEDs, kimsingi DED ndio NEC.

Siyo siri kwamba baadhi ya Wakurugenzi ni makada wa CCM na wengine walishawahi kugombea ubunge, halafu mnataka tuamini CHADEMA ni chama cha Upinzani, kweli?

"Watanzania siyo wajinga" - Magufuli.
 
Leo umeongea point .ata Mimi huwa siamini macho yangu eti wapinzani wa tanzania tangu 1995 wanasimamiwa uchaguzi na makada watiifu.Hii nchi ina tatizo kubwa saaana.
 
Back
Top Bottom