Wakurugenzi wa Halmashauri ndio mikono ya Tume ya Uchaguzi hapa nchini, yaani NEC analishwa na DEDs, kimsingi DED ndio NEC.
Siyo siri kwamba baadhi ya Wakurugenzi ni makada wa CCM na wengine walishawahi kugombea ubunge, halafu mnataka tuamini CHADEMA ni chama cha Upinzani, kweli?
"Watanzania siyo wajinga" - Magufuli.