Elections 2010 Kiumbe aliechangia kutufilisi

Elections 2010 Kiumbe aliechangia kutufilisi

kwamwewe

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2010
Posts
1,908
Reaction score
604
Mheshimiwa Anna Mkapa


Mama_Anna_Mkapa.jpg
 
Huyu mama kwa miaka mitano iliyopita alikuwa kimya sana..ukitaka kujua wale ambao wanatufilisi ni hao wanahangaika kutafuta kura ili waendelee kutesa vilivyo.........
 
huyu nae yumo ila salma na ridhiwani wamezidi
 
Msihamishe mada wakuu, subirini mkwere atoke madarakani ndo mtajua kuwa mama anna mkapa alikuwa mtakatifu alikinganishwa na hii familia iliyoko madarakani!
 
wakuu mmemsahau mama sitti? wana JF hawana kumbukumbu! bila kudanganya msafi alikuwa mama maria peke yake so far.
 
unafuu gani au wa vijisenti vya chenge?????????
 
Back
Top Bottom