Huyu mama kwa miaka mitano iliyopita alikuwa kimya sana..ukitaka kujua wale ambao wanatufilisi ni hao wanahangaika kutafuta kura ili waendelee kutesa vilivyo.........
Msihamishe mada wakuu, subirini mkwere atoke madarakani ndo mtajua kuwa mama anna mkapa alikuwa mtakatifu alikinganishwa na hii familia iliyoko madarakani!