HONEST HATIBU
Member
- Aug 19, 2020
- 63
- 153
Simba imemtambulisha kiungo Debora Fernandes Mavambo kutoka Mutondo Stars ya Zambia kwa mkataba wa miaka mitatu.
Debora mwenye umri wa miaka 24, ana uraia pacha Gabon na Congo Brazaville, na timu ya taifa anayoitumikia ni Gabon.
#Usajili #SimbaSC #DeboraFernandes