Bahati mbaya tu game ilimkataa ila ni ninja kweliAfadhali busquets anapotezwa uku anakaza sasa yeye kila akipata mpira anapoteza tu jamaa alizingua
Ngoja nitamfuatilia tena game zingine ila alini boa kinomaBahati mbaya tu game ilimkataa ila ni ninja kweli
Now akija stars atakua anatokea Egypt ,atabadilikaNgoja nitamfuatilia tena game zingine ila alini boa kinoma
Ngoja tuoneNow akija stars atakua anatokea Egypt ,atabadilika
Usisahau mapinduzi alichowafanya SimbaNgoja nitamfuatilia tena game zingine ila alini boa kinoma
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wachezaji wa Tanzania wakimiss bangi zao wanavunja mikataba kurudi nyumbani
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ha ha ha,
Wapi haruna Moshi "Boban"
Kocha alimpanga akiwa hayuko fiti.Afadhali busquets anapotezwa uku anakaza sasa yeye kila akipata mpira anapoteza tu jamaa alizingua
Kama ndiyo hivyo sawaKocha alimpanga akiwa hayuko fiti.
Hàsa wale wanaoteseka kwa njaa Sasa hivi pale mitaa ya jangwani!Wachezaji wa Tanzania wakimiss bangi zao wanavunja mikataba kurudi nyumbani
So wewe una akili kuliko waarabu waliomsajiri?Katika wachezaji vilaza Tanzania ni himidi mao hajui kitu