Kiungulia husababishwa na nini?

Kiungulia husababishwa na nini?

Eligi

Senior Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
167
Reaction score
15
Waungwana nisaidieni
Nasumbuliwa sana na kiungulia hasa ninapotumia chakula chenye maharage (beans) na nyanya....
*Na ni jinsi gani ya kupambana na kiungulia?
 
husababishwa na acid tumbon hvyo ukitumia vitu vyenye base km wood ashes vitakupa relief
 
Back
Top Bottom