Eligi Senior Member Joined Mar 7, 2013 Posts 167 Reaction score 15 Sep 15, 2013 #1 Waungwana nisaidieni Nasumbuliwa sana na kiungulia hasa ninapotumia chakula chenye maharage (beans) na nyanya.... *Na ni jinsi gani ya kupambana na kiungulia?
Waungwana nisaidieni Nasumbuliwa sana na kiungulia hasa ninapotumia chakula chenye maharage (beans) na nyanya.... *Na ni jinsi gani ya kupambana na kiungulia?
Sungi Lyzer New Member Joined May 11, 2013 Posts 3 Reaction score 3 Sep 15, 2013 #2 Koroga majivu uyanywe yanaweza kukusaidia ndg
R reginahope Senior Member Joined Mar 26, 2013 Posts 163 Reaction score 30 Sep 15, 2013 #3 husababishwa na acid tumbon hvyo ukitumia vitu vyenye base km wood ashes vitakupa relief