Kiungulia

Favoured one

Senior Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
142
Reaction score
78
Wakuu salaam,naomba msaada jinsi ya kuondoa kiungulia,Siku za nyuma vyakula vyote vilikuwa havinisumbui ila kwa sasa baadhi vinanipa kiungulia MF mikate,maharage,viazi nk.
Nifanyeje nirudie ile hali ya kutokupata kiungulia.
 
Itabidi nijaribu majivu,wana sayansi saidieni hapa,majivu yana nguvu gani ya uponyaji ktk mwili Wa mtuuu??
 
Inaonyesha unayo Asidi nyingi mwilini mwako inayo kusababisha baadhi ya vyakula ukila unapatwa na hicho Kiungulia aka (Heart Burn) Nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia upate kurudia hali yako ya kawaida. Majivu hata kama yatakusaidia ni kwa muda tu sio kumaliza tatizo la ugonjwa wako chanzo kikubwa ni Asidi nyingi mwilini mwako.

DALILI ZA KUZIDI ACIDI MWILINI:

Sababu ya Acidity

• Uvutaji wa sigara kwa wingi
• Kunywa pombe kupita kiasi
• Vidonda vya tumbo
• kuzidi kwa asidi ya tumbo
• Kutokula kwa wakati
• Kula kukaanga na viungo vya chakula mara kwa mara
• Matatizo katika utendaji wa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula tumboni
• Kukaa na njaa kwa muda mrefu au kuto kula chakula cha Asubuhi
• Kula vyakula vingi vya mafuta, kama chocolates
• kuwa na Mimba kunasababisha asidi pia.
• kuzeeka
• Utokaji yatokanayo na jua na joto
• Muafaka wa chakula tabia
• kuwa hisia mbaya
• Udhaifu wa mishipa ya mwilini

Dalili ya Acidity nyingi Mwilini
• Mchomo au maumivu katika tumbo, 1-4 masaa baada ya mlo
• maumivu ya kifua
• Kiungulia cha Muda mrefu
• Uvimbe katika kifua
• Kuhisi njaa mara kwa mara
• Daima maumivu katika tumbo la juu
• Kucheua
• Kichefuchefu
• Kuona Uchungu ladha katika kinywa
• Kupoteza hamu ya kula
• Kutapika
• Kukohoa
• Sauti ya mabadiliko na malezi ya kidonda katika umio (tube kuunganisha kinywa na tumbo)
• Maumivu ya sehemu za misuli ya mwili
• Maumivu katika masikio

Ukiwa na Shida yoyote ile
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Maalim Saad Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Itabidi nijaribu majivu,wana sayansi saidieni hapa,majivu yana nguvu gani ya uponyaji ktk mwili Wa mtuuu??
Kiungulia husababishwa na contents za kwenye tumbo ambazo basically ni acidic (pH around 2) kurudi kwenye oesophagus.... Majivu hasa ya majani ya mgomba ni one of the best locally made base, so inafanya neutralization.
 
Shukrani mkuu
 
Shukrani kwa Maelezo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…