Hi Lizzy
Duu acha mabango lizzy!na wal ckufikiria atachukulia vibaya cz kiuno ni part ya mwili kama yalivyo macho,pua,mdomo n.k
<br />
<br />
Jamani mi ckujua coz ndipo palipokuwa panauma afta kuinama kwenye computer cku nzima.itabd niombe msamaha
Embu toa ushauri kwa dada wa watu...eti ni poa nikimwambia best yako kiuno kinaniuma?!
mweh! sasa kwa nini UNAINAMA KWENYE COMPUTER kutwa nzima. wewe ni fundi, secretay ama mfagiaji?
Jamani yamenikuta mwenzenu leo baada ya kumjibu rafiki wa boyfriend nimefanya kazi mpk kiuno kinauma!eti naulizwa nimemjibu hvyo ili anisaidieje??punguzeni wivu jama khaa!
Shoot me if you can with your toy gun
u wont be able to bear the sweet pain, i promise u. if u wanna commit suicide, buy ur own. i can borrow u the moolah!