Kama nilivyoainisha hapo juu, kiukweli naumwa sana na kiuno yaani nikijikunja kidogo kama nataka kuangukia nyuma napata maumivu makali sana. Kuna siku kiliuma mpaka nikaomba niwekewe kitu kizito kiunoni huku nimelala toka siku hiyo ndo mpaka leo bado kinauma.
Ni misuli imeumia kwa ndani,ulibeba kitu kizito?mimi pia nilipata tatizo nikapewa dawa za maumivu na masharti ya kutoinama,kuwacha kukalia kochi,kalia kiti cha dinning,hata kuvaa viatu usiiname;inua mguu ukae juu nk kwa muda wote hadi maumivu yaishi,muone daktari