Habara Madaktari na
Wauguzi,
its serious, ni cku ya 4 leo naumwa kiuno kwa upande wa kushoto,
kilianza gafla nikiwa na tembea pasipo sababu yeyote, kinauma kwa ndani
kias kwamba hata nikiwa kama na kibinya hakiumi, kilipata nafuu jana ila
leo kimeanza tena kama mwanzo, nataka kujua hasa shida ni nini na tiba
haswa nini!!
NOTE:
Toa mchango wakitaalamu zaidi na usiweke masihara tafadhali.
Habara Madaktari na Wauguzi,
its serious, ni cku ya 4 leo naumwa kiuno kwa upande wa kushoto, kilianza gafla nikiwa na tembea pasipo sababu yeyote, kinauma kwa ndani kias kwamba hata nikiwa kama na kibinya hakiumi, kilipata nafuu jana ila leo kimeanza tena kama mwanzo, nataka kujua hasa shida ni nini na tiba haswa nini!!
NOTE:
Toa mchango wakitaalamu zaidi na usiweke masihara tafadhali.
Mkuu hiyo makitu ikinitokea huwa napiga Diclopar, ndani ya nusu saa unakuwa fiti kama kawa. MR Diclopar ndo mwisho wa matatizo ya hiyo makitu wakati ukisubiria tiba halisi toka kwa wataalamNakwambia Asprin hapa nimelalia mito 2 hapa kiunoni lakin wapi..nimekanda na kupaka salimia..ndio nasikilizia..dunia ina mambo yake...!
Tabibu wangu Lady doctor hebu njoo toa tiba kwa huyu mwanadamu hapa.
Usisahau hata mimi haka kaugonjwa kananisumbua sana.....
Mara nyingine maumivu ya kiuno hutokana na shida iliyo kwenye uti wa mgongo (spine) wengine wasema. Aidha hii pia hutokana na umri wa mtu na occupation yake. Ningeshauri usichelee, nenda kwa daktari wako muone upimewe na upate ushauri uliomzuri. Ninachelea kukushauri la kufanya kama bado hujatoa shida yako kwa Daktari. Kumbuka kiuno kinaweza kuuma kutokana na inflamation iliyo mwilini kutokana na vinywelea vya magonjwa kama vile vya malaria nk, au uchovu pia.no, jaribu kuwa mtafiti kabla ya ku post..me he..
Mkuu hiyo makitu ikinitokea huwa napiga Diclopar, ndani ya nusu saa unakuwa fiti kama kawa. MR Diclopar ndo mwisho wa matatizo ya hiyo makitu wakati ukisubiria tiba halisi toka kwa wataalam