Mimi nilidhani ndiyo unataka kutoa darasa kwa wale tusiojua ili tuweze kujifunza umuhimu wake badala yake kumbe unatuacha hewani tu, sasa tutajifunza wapi??Kiuno kila mmoja wetu anakijua,kinamatumizi mengi kwenye shughuli zetu za kila siku.Lakini kwenye mapenzi au mahusiano kina kazi nyingine hasa kunako game,kiuno kikitumika vyema husaidia kuboresha uhusiano ila ukichemka kinakosa maana.Na matumizi au umuhimu wake ni kwa jinsia zote.Je wajua matumizi yake?Kama hujui ni bora ukajifunza umuhimu wake ili uboreshe uhusiano wako!
mhhhh kweli watu walii miss jf
mhhhh kweli watu walii miss jf
Umeonaa eeeh Boss
tufundishe bana.....
mhhhh kweli watu walii miss jf
tufundishe bana.....
Kiuno kila mmoja wetu anakijua,kinamatumizi mengi kwenye shughuli zetu za kila siku.Lakini kwenye mapenzi au mahusiano kina kazi nyingine hasa kunako game,kiuno kikitumika vyema husaidia kuboresha uhusiano ila ukichemka kinakosa maana.Na matumizi au umuhimu wake ni kwa jinsia zote.Je wajua matumizi yake?Kama hujui ni bora ukajifunza umuhimu wake ili uboreshe uhusiano wako!
Inaonekana mtaalam sana, ila tutajuaje kama unayaweza hayo mauno?
yani nawee hujui.??