Kiupele {jipu} sehemu ya siri

Kiupele {jipu} sehemu ya siri

georgei

Senior Member
Joined
Oct 14, 2009
Posts
110
Reaction score
8
Kuna mtanzania analalamika sana,anadai anakiupele (kama jipu) kwenye uume wake,eneo la katikati kati ya Korodani na kichwa,in between.

utakua ni ugonjwa gani kwa wataalamu wa afya.
 
Mwambie akapime ngoma. Au inaweza ikawa kansa ya kizazi. Awahi matibabu, atapaki sasa hivi

Back
Top Bottom