Kiupele {jipu} sehemu ya siri

Hha ha ha, hamisi na Mwaju mnanichekesha majibizano yenu.
 
hehehehe! Leo umeamkia wapi unanikosha hivi!!

Dah invizibo kaniwekea roho stoki la sivyo ningekugongea tena rep power. Gademu invizibo.

Alafu kwa nini umenibania kunifundisha log wewe.....nimesubiri tokea mwaka juzi lakini wapi
 
Dah invizibo kaniwekea roho stoki la sivyo ningekugongea tena rep power. Gademu invizibo.

Alafu kwa nini umenibania kunifundisha log wewe.....nimesubiri tokea mwaka juzi lakini wapi

hahaha! Basi kesho asbh usisahau kunigongea. Darasa lianze lini? Mie tangu mwaka juzi nasubiri mwanafunzi hutokei.
 
Itakuwa ni antvirus mwambie akapime kaswende apate antbiotic kali atapona.
 
Unajua kuna mtu anaitwa JIPU humu jf? So ndio huyo yupo kwenye nyeti zako?
 
hahaha! Basi kesho asbh usisahau kunigongea. Darasa lianze lini? Mie tangu mwaka juzi nasubiri mwanafunzi hutokei.

Afu nyie Nyani Ngabo na Husninyo nawapa ban ya kuvaa nguo usiku wa leo.
 
Ntaiwezea wapi miye hiyo. Ni sawa na kunambia nikimbie marathon kwenye jua kali bila kunywa maji.

mie sawa sawa anambie niache kulamba koni. Lol. Halafu hiyo zawad yangu mbona haifiki hamisi?
 
jamani waalikeni wadau wengine na waambiwe kuwa ukitaka kuishi maisha marefu ni lazima wajiunge jamii forum,kwa kweli nacheka,nafarijika na hata kuondoa strss zote kila nikiwa jamii forum.Hongereni wadau wote na Mungu awajalie afya njema
 
Si aende hospitaliiii!!!!mpaka ushauri na hilo hawezi tumia akili zakee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…